kama chan'gaa itapatkana nitafurahi zaid.naomba unitoe hapa reception.
Kongosho tumsaidie kumshika mkono huyu si unaona amekaribishwa na Katavi kwa maji magumu, hata huyu Blue G naye ni komba ukimpa yale maji yetu pasiasi ataomba afungiwe mrija kwenye tank la bruariz.Huyu mgeni kweli?
Mbona kama naniliyu ila tu kabadili mtandio?
Mgeni kama unakata mchumbe wa kike umenipata, kama unataka wa kiume umenipata pia.