didii
Member
- Mar 25, 2011
- 74
- 5
Habari zenu wana jf.poleni na majukumu .mimi ni mkazi wa dar es salaam natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya utengenezaji nyele na urembo kwa ujumla.nimeshaenda veta wameniambia wanachukua intake mwezi wa tisa,mimi ninahitaji kusoma kwa kwa wakati huu.naomba msaada kwa anayefahamu..