Natafuta chuo cha hair dressing and beauty

didii

Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
74
Reaction score
5
Habari zenu wana jf.poleni na majukumu .mimi ni mkazi wa dar es salaam natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya utengenezaji nyele na urembo kwa ujumla.nimeshaenda veta wameniambia wanachukua intake mwezi wa tisa,mimi ninahitaji kusoma kwa kwa wakati huu.naomba msaada kwa anayefahamu..
 
Nenda datastar kariakoo ngoja nikutafutie data za kutosha ili uende kuwaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…