Natafuta chuo cha mazingaombwe

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,171
Jamani wakuu naombeni msaada. Nimehangaika sana na maisha, nimerudia mtihani mara tatu majibu yanakuja ovyo tu, naona sasa nikasomee hiyo sanaa naamini inaweza kunitoa katika maisha. Nisaidieni wakuu anayejua
 
anayejua mahali kilipo na gharama zake anisqidie
 
somea herbalist mimea tiba,jikazie zaidi ktk matatizo ya uzazi kwa kina mama!/vyuo hivyo vipo nairobi kenya/changamkia fursa!
 
Kweli kuna chuo kinachotoa mafunzo ya mazingaombwe jamani
 
kwa ushauri huu,
kaa macho unatapeliwa bestitooo
lkn mitaa iyo kuna kiwanda cha noti feki so waweza jiongeza kimtindo

kazi nyingine zina return kubwa but very risk,heri kulima mihogo
 
....njooo chuoni..natoa kozi zifuatazo>
- Chuma ulete
- jinsi ya kumkopa mtu kiasi chochote cha Hela na hakatai
- kusahaulisha madeni
- kutengeneza Hela kwa kutumia makaratasi...
- Kupendwa na vibosile tu.....
KARIBUNI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…