Criss Alex Senior Member Joined Apr 18, 2012 Posts 111 Reaction score 10 Aug 21, 2012 #1 Habari za kazi wana JF? Poleni kwa kazi. Mimi natafuta chuo cha patnership cha Information and Communication tech. Naombeni msaada wenu jamani ili niwezekufanikisha ndoto zangu.
Habari za kazi wana JF? Poleni kwa kazi. Mimi natafuta chuo cha patnership cha Information and Communication tech. Naombeni msaada wenu jamani ili niwezekufanikisha ndoto zangu.