Natafuta chuo cha Production Dar es Salaam

Natafuta chuo cha Production Dar es Salaam

Malovee

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2020
Posts
202
Reaction score
324
Hellow,

Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri?

Hapa namaanisha mambo ya Media. Yaani kuna mtu alisoma mass communication lakini aka specialise kwenye uandishi wa habari, sasa anataka pia kujua mambo ya production kwenye media, yaani, grafics, editing, kiujumla production nzima coz anataka afungue ofisi yake binafsi.
 
Production ni neno la jumla sana. Hebu andika kiswahili tujue ulikuwa unamaanisha nini.
 
Unataka cheti au unataka skills uwe mkali?
 
Back
Top Bottom