Muhimu kwanza asiwe chini ya Div.IV 26pts-Tanga kuna Chuo kinaitwa Ekenford,Kule Mbeya kuna chuo cha Kanisa Uyole,Dar kuna vyuo kibao, kimojawapo ni Kimara Baruti,kingine PEN- Kariakoo tena karibu na soko Kuu,Ilala,na kingine kule Mbagala,St Mary Tabata nk.Ada ilikuwa 1.2Mil. kwa mwaka hiyo ilikuwa mwaka juzi sina uhakika kama zimepanda zaidi.