Natafuta chuo cha uzimaji moto

ochu hulker

Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
18
Reaction score
5
Naomba kuuliza wapi naweza kupata kusoma kozi ya uzimaji moto vizuri iwe dar lakini hata mkoa pia
 
Hivi kumbe kuzima moto na yenyewe husomewa...mwanzoni nilidhani wale jamaa hupitia mafunzo ya muda mfupi tu!!
Sipati picha jamaa mwenye PHD ya uzimaji moto atakuwa vipi...
 
kama upo dar nenda wanja wa ndege wa zamani (terminal 1) kuna chuo wanatoa certificeti ya zima moto nadhani kozi ni miezi 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…