Ckattovic
Member
- Jun 15, 2013
- 93
- 27
Nimemaliza O'level, mwaka jana ila nikakosa nafasi ya kuendelea na A'level. Hivyo nikaapply Wizara ya Afya bado nangojea majibu yao. Pamoja na kungojea majibu hayo napenda nipate sehemu nyingine( Chuo) kama mbadala ikitokea nimekosa uko niweze kuendelea na masomo.
Hivyo naomba mwenye kufahamu vyuo(vya serikali/binafsi) ambavyo ni vizuri na vina Course za Science anifahamishe.
Kuanzia ngazi ya Stashahada(Diploma).
Course ambazo napenda kuchukua ni; Civil Engeering,
Lab Techniciary &
I.T.
Mojawapo ya hizo Course nilizozianisha hapo juu ningependa kuisomea.
Ufahulu wangu ni wa daraja la nne point 26,
Ambapo Biology & Mathematics nina C, na masomo mengine yaliyobaki nina D.
Nitafurahi zaidi pindi utakapokuwa unanijibu ukaweza kuniambia Mahali kinapopatikana hicho Chuo hapa Nchini, hali ya Mazingira ya Chuo chenyewe na Gharama zake kwa ujumla.
Nitashukuru kama umenielewa na kudhamilia kunisaidia katika ili jambo.