Natafuta chuo either kiwe cha goverment or private.

Ckattovic

Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
93
Reaction score
27
Nimemaliza O'level, mwaka jana ila nikakosa nafasi ya kuendelea na A'level. Hivyo nikaapply Wizara ya Afya bado nangojea majibu yao. Pamoja na kungojea majibu hayo napenda nipate sehemu nyingine( Chuo) kama mbadala ikitokea nimekosa uko niweze kuendelea na masomo.
Hivyo naomba mwenye kufahamu vyuo(vya serikali/binafsi) ambavyo ni vizuri na vina Course za Science anifahamishe.
Kuanzia ngazi ya Stashahada(Diploma).
Course ambazo napenda kuchukua ni; Civil Engeering,
Lab Techniciary &
I.T.
Mojawapo ya hizo Course nilizozianisha hapo juu ningependa kuisomea.

Ufahulu wangu ni wa daraja la nne point 26,
Ambapo Biology & Mathematics nina C, na masomo mengine yaliyobaki nina D.
Nitafurahi zaidi pindi utakapokuwa unanijibu ukaweza kuniambia Mahali kinapopatikana hicho Chuo hapa Nchini, hali ya Mazingira ya Chuo chenyewe na Gharama zake kwa ujumla.

Nitashukuru kama umenielewa na kudhamilia kunisaidia katika ili jambo.
 
Vyuo vng now watu walsha apply pia applctn zlsha fungwa hvyo bas now wa2 wanasubr kwenda vyuo pia wengne wanasubr matokeo....hpo ni kwa vyuo vya serikal bt cjajua kama na vya private bt hku mbeya kuna chuo kinaitwa UTC....kma ni kwa IT pale utapata then mbona matokeo yako mazur wizara ya afya utapata kwan uli apply nini?
 




Shukrani!!!!!!!!!
Me niliapply Labaratory Techniciary, ila kinachonipa wac wac ni D ya CHEMISTRY yaani.
Ngoja nikaangalie hicho cha UTC.
 
Kama ume apply diplma hpo wasi was ni lazma mana ww utakuwa unashndana na 4m6...bt unawezapata nafas ya kusoma cheti f u dön mind
 
Dah! Tupo wengi Kumbe maana mi nina bio c chem c mengine yote d kasoro math tu f mi hapa nilipo nina full wasiwasi niliomba dip ya co na medical lab technology kama nikikosa bora wanipeleke cheti aisee lakini mungu ndo muweza ya yote na yeye ndiye mtegemewa wangu wa kila jambo Allah
 
Halafu mbona wanachelewesha sana hayo Majibu?! Ni bora wayatoe mapema ili kama 2takuwa 2mefanikiwa 2anze kujipanga Mapema na kama ha2tafanikiwa 2angalie Mipango mingine.
 

JARIBU udom na TEKU deadline 30/8/2013
 
kuchaguliwa ni bahati hakuna cha six wala four maana naamini wengi hata hao form six wametumia vyeti vya o level kwa vile wizara wanataka form six aliyesoma pcb na sio wote wamechukua hiyo na wakati huo awe na E zote ambapo ana sifa za kwenda chuo kikuu labda akose mkopo
 

Ungekuwa na c ya chemistry pia ungesomea diploma ya dential therapist!Bt kwa kiwango hcho njoo usome certificate ya nursing!
 
tembelea website hii: www.tihest.org
muda wa kuapply umeisha ila unaweza kupata wasiliana nao kwa simu namba: 0762893609 lakini siku za kazi na kuanzia saa mbili hadi kumi na moja jioni.jitahidi ukamilishe mchakato by next week.
 
tembelea website hii: www.tihest.org
muda wa kuapply umeisha ila unaweza kupata wasiliana nao kwa simu namba: 0762893609 lakini siku za kazi na kuanzia saa mbili hadi kumi na moja jioni.jitahidi ukamilishe mchakato by next week.


Ahsante aiseee...
 




Ni kwel kama unavyosema kuwa kuchaguliwa ni bahati, ila nataka kujiaandaa ikitokea bahati haijaniangukia mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…