Natafuta chuo kinachofundisha Aircraft Mechanical Engineering Canada

Natafuta chuo kinachofundisha Aircraft Mechanical Engineering Canada

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Wadau mnaendeleaje,

Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana.

Asanteni
 
Google utapata mkuu
 
Ipo AIRCRAFT MAINTENANCE ENGINEERING (AME) ambayo hii inahusu zaidi ishu za kufanya maintenance, repair na hata Overhaul ya ndege pia imegawanyika katika sehemu mbili
  • AME Mechanical
  • AME Avionics (Electronics)
na AERONAUTICS ENGINEERING (Japo hii kwa nchi zetu huku bado ) ila kama uwezo wa kusomesha nje ya nchi unao ni vizuri vyuo vipo nchi nyingi tu.
 
Asante kwa Bandiko linalohusu Aircraft Mechanical Engineering Mkuu.

WAKUU WANAKUJA KUKUPA A-Z

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom