Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana.
Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana.
Ipo AIRCRAFT MAINTENANCE ENGINEERING (AME) ambayo hii inahusu zaidi ishu za kufanya maintenance, repair na hata Overhaul ya ndege pia imegawanyika katika sehemu mbili
AME Mechanical
AME Avionics (Electronics)
na AERONAUTICS ENGINEERING (Japo hii kwa nchi zetu huku bado ) ila kama uwezo wa kusomesha nje ya nchi unao ni vizuri vyuo vipo nchi nyingi tu.