Chuo kipo Shinyanga Mkuu, alaf Caterpillar ni kampuni inayotengeneza Machine km ilivyo Bobcat, JCB, Komatsu nk na sio aina ya machine km ulivyo maanisha" wengi humaanisha Grader """sorry for upset you in one way or another lkn ndó tunawekana sawa na wengine wajue pia ____!!Wadau,
Natafuta chuo kinachofundisha kuoparate mitambo kama scavator, caterpillar, na mitambo mingine, mwenye kufahamu anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa VETA - Shinyanga mashine kama Hydraulic Excavator, Motor Grader, na Road Roller..Chuo kipo Shinyanga Mkuu, alaf caterpillar ni kampuni inayotengeneza Machine km ilivyo Bobcat, JCB, Komatsu nk na sio aina ya machine km ulivyo maanisha" wengi humaanisha Grader """sorry for upset you in one way or another lkn ndó tunawekana sawa na wengine wajue pia ____!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuuChuo kipo Shinyanga Mkuu, alaf caterpillar ni kampuni inayotengeneza Machine km ilivyo Bobcat, JCB, Komatsu nk na sio aina ya machine km ulivyo maanisha" wengi humaanisha Grader """sorry for upset you in one way or another lkn ndó tunawekana sawa na wengine wajue pia ____!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf pia kuna kitu nataka kuongezea apo japo sijajua lengo lako ni kwa ajili ya nini hasa, km ni kuhusu kutafta ajira kwenye makampuni ungeomba ushauri pia kwa wadau ata ikibidi humu humu JF tu km vp wakushauri aina ya mitambo iliyoko kwenye market kwa zama hizi, maana izo machine unazozisema mkuu zilikuwaga dili sn enzi izo otherwise uwe na mission maalum na machine izo

ni ushauri tu lkn ktk kutakiana yajayo yawe yanafurahisha ___!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa namna ulivyo mjibu jamaa. Chukua like yanguChuo kipo Shinyanga Mkuu, alaf caterpillar ni kampuni inayotengeneza Machine km ilivyo Bobcat, JCB, Komatsu nk na sio aina ya machine km ulivyo maanisha" wengi humaanisha Grader """sorry for upset you in one way or another lkn ndó tunawekana sawa na wengine wajue pia ____!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijitonyama maeneo ya Sayansi Kuna chuo pale, uki Google utaona.Wadau,
Natafuta chuo kinachofundisha kuoparate mitambo kama scavator, caterpillar, na mitambo mingine, mwenye kufahamu anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
ingia www.veta.go.tz kozi inatolewa na chuo cha veta dodoma tu nawala sio shinya kama wengi wanavyo dhani tangazo la nafasi ya masomo muhula 20/21 lishawekwaWadau,
Natafuta chuo kinachofundisha kuoparate mitambo kama scavator, caterpillar, na mitambo mingine, mwenye kufahamu anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa VETA - Shinyanga mashine kama Hydraulic Excavator, Motor Grader, na Road Roller..
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay thanks mkuu...Mkuu;
Veta Shinyanga hamna roller.
Kuna Motor Grader, 140H, excavater 320D na Loader (vyote ni Brand ya Caterpillar).
Yawezekana iliamishwa ila awali ilitolewa na VETA SHINYANGA..ingia www.veta.go.tz kozi inatolewa na chuo cha veta dodoma tu nawala sio shinya kama wengi wanavyo dhani tangazo la nafasi ya masomo muhula 20/21 lishawekwa
Akasomee kijiko mkuu.dili sanaAlaf pia kuna kitu nataka kuongezea apo japo sijajua lengo lako ni kwa ajili ya nini hasa, km ni kuhusu kutafta ajira kwenye makampuni ungeomba ushauri pia kwa wadau ata ikibidi humu humu JF tu km vp wakushauri aina ya mitambo iliyoko kwenye market kwa zama hizi, maana izo machine unazozisema mkuu zilikuwaga dili sn enzi izo otherwise uwe na mission maalum na machine izo
ni ushauri tu lkn ktk kutakiana yajayo yawe yanafurahisha!
Sent using Jamii Forums mobile app