Wana JF salaam,
Kwa mda mrefu nimejaribu kutafuta chuo kinachotoa degree ya kwanza kwa njia ya mtandao lakini bil mafanikio,nilivyoweza kuvipata ni ghali sana na vyenye afadhali vinatoa masters,
Hali yangu ya kifedha sio nzuri sana na kuomba vyuo vya ndani (FULL TIME)majukumu ya kifamilia yananizuia,KWA BAHATI NZURI ninaopportunity ya kuaccess Internet free,NAOMBENI MSAADA WENU,USHAURI ETC.
Brother Fadhili ej.
Hapo juu umesema kuwa moja ya sababu ya kusoma online course ni kupunguza gharama.
Amini nakuambia online course ni more expensive kuliko full time.
Hawa nao wanatoa online degrees University of South Africa "UNISA"Wana JF salaam,