Jamani wanajamvi mnaokaa Arusha tafadhali mnisaidie kupata chuo Arusha, kinacho husikana na maswala ya tourism marketing, Nina stashahada ya chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama pori pale Mweka Moshi,
Mimi nimejiajiri mwenyewe so napendelea chuo ambacho naweza kuhudhuria kwa nusu siku.