Natafuta chuo

Natafuta chuo

dhahir ally

Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
16
Reaction score
0
habari za jioni na kheri ya mwaka mpya. mimi ni mwanafunzi nimemaliza muccobs diploma ya accounts nina GPA ya 2.4 or grade C. Nilikuwa naomba ushauri ni chuo gani kitanipokea kwenda bachelor na GPA ya 2.4
 
ngoja waje wajuzi ila kwa kutumia equivalent qualification kwa mujibu wa tcu unatakiwa uwa na gpa ya 2.7 mkuu
 
habari za jioni na kheri ya mwaka mpya. mimi ni mwanafunzi nimemaliza muccobs diploma ya accounts nina GPA ya 2.4 or grade C. Nilikuwa naomba ushauri ni chuo gani kitanipokea kwenda bachelor na GPA ya 2.4

Heko Kwa marks zako hizo ila Hujatuambia Unataka Kusomea Nini! Ila tu Kwa Nature Ya Masomo Yako Nadhani MZUMBE UNIVERSITY Patakufaa Sana ila Ingekuwa ni Journalism na Mass Com Ningekushauri na Hadi Kukushawishi Uende Nyumbani Kwangu NYEGEZI SOCIAL TRAINING INSTITUTE ambapo Mwaka 1997 Ikawa Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT )! Ila Natambua pia na Mchango wa Vyuo Vingine Vyote Nchini Tanzania.
 
Yeah naelewa hilo ila tcu wao hawana shida ila mkopo haupewi. Tatizo iko vyuoni kukupokea je kuna chuo itakayo nipokea?
 
Gent mimi nimemaliza diploma ya cooperative management and accounting(CMA). Na ningependa kuunga bachelor ya accounts au procurement
 
Back
Top Bottom