habari za jioni na kheri ya mwaka mpya. mimi ni mwanafunzi nimemaliza muccobs diploma ya accounts nina GPA ya 2.4 or grade C. Nilikuwa naomba ushauri ni chuo gani kitanipokea kwenda bachelor na GPA ya 2.4

Heko Kwa marks zako hizo ila Hujatuambia Unataka Kusomea Nini! Ila tu Kwa Nature Ya Masomo Yako Nadhani MZUMBE UNIVERSITY Patakufaa Sana ila Ingekuwa ni Journalism na Mass Com Ningekushauri na Hadi Kukushawishi Uende Nyumbani Kwangu NYEGEZI SOCIAL TRAINING INSTITUTE ambapo Mwaka 1997 Ikawa Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT )! Ila Natambua pia na Mchango wa Vyuo Vingine Vyote Nchini Tanzania.