Habari wadau! Nahitaji hiyo Common Interface card
kwa ajili ya Tv yangu niweze kutumia smart card za
pay Tv via Digital Tv.
Kama kuna aliye nayo naomba anicheki hapa
0787577755 au kama kuna anayejua nitaipata wapi
kwa Dar es salaam naomba anifahamishe.
Ulipata?hata mimi nahitaji ila ya star times maana nimenunua tv ya star times
Ulipata?