Natafuta Clutch ya Nissan Xtrail manual

Natafuta Clutch ya Nissan Xtrail manual

Rusky

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
47
Reaction score
54
Salaam
Naomba msaada wa kujua duka linauza spare parts za Nissan Xtrail.
Nahitaji clutch na pressing yake. Gari ni manual
Natanguliza shukran
 
Hapo andaa si chini ya 700K, pia uwe making usije kupigwa changa la macho ukipewa feki.

Kingine fundi anayerudisha hakikisha ni mtaalamu akiweka vibaya kuna gia zingine zitakuwa zinafyatuka zenyewe kola ukivuka speed 100

Speaking from experience
 
Salaam
Naomba msaada wa kujua duka linauza spare parts za Nissan Xtrail.
Nahitaji clutch na pressing yake. Gari ni manual
Natanguliza shukran
Kama hujapata nichek i can assist u wapi utasaidika 0626409908
 
Back
Top Bottom