Ni kweli Kaka.....nimeweka ili kupunguza masualaUkishasema clutch tiyari imeshafahamika ni gari ya aina gari mkuu
Niko Dar au hata Zenj ni mwenyejiUko sehemu gani?
Kama hujapata nichek i can assist u wapi utasaidika 0626409908Salaam
Naomba msaada wa kujua duka linauza spare parts za Nissan Xtrail.
Nahitaji clutch na pressing yake. Gari ni manual
Natanguliza shukran
Okay nimefanikiwa kuipata lakini tatizo bado ufungaji........Kama hujapata nichek i can assist u wapi utasaidika 0626409908