ramadhani kimweri Senior Member Joined Apr 22, 2016 Posts 181 Reaction score 179 Oct 18, 2024 #1 Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea Msaada wana jamiiforums
Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea Msaada wana jamiiforums
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,018 Reaction score 5,752 Oct 18, 2024 #2 Anzia phantom au lumambo...unajua na kupigana vzr???
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Oct 18, 2024 #3 All the Best
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Oct 18, 2024 #4 Nenda CDT alfajiri, ikifika mida ya kuanzia saa kumi jioni sogea Phantom, daily hauto lala njaa. Lakini hapa kwenye keyboard usijisumbue mazee, inahitaji ubunifu na uaminifu.
Nenda CDT alfajiri, ikifika mida ya kuanzia saa kumi jioni sogea Phantom, daily hauto lala njaa. Lakini hapa kwenye keyboard usijisumbue mazee, inahitaji ubunifu na uaminifu.
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Nov 16, 2024 #5 Kak ulipata kaz ya kupiga debe
D Dear ex Member Joined Oct 27, 2023 Posts 49 Reaction score 88 Dec 1, 2024 #6 dr namugari said: Kak ulipata kaz ya kupiga debe Click to expand... kama kazi ipo naomba ata mimi mkuu
dr namugari said: Kak ulipata kaz ya kupiga debe Click to expand... kama kazi ipo naomba ata mimi mkuu
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Dec 2, 2024 #7 Kulima hutaki?
ramadhani kimweri Senior Member Joined Apr 22, 2016 Posts 181 Reaction score 179 Dec 16, 2024 Thread starter #8 dr namugari said: Kak ulipata kaz ya kupiga debe Click to expand... Sijapata mkuu