Natafuta Connection ya kupata mizigo kwaajili ya kuisafirisha

Natafuta Connection ya kupata mizigo kwaajili ya kuisafirisha

Joined
Nov 4, 2016
Posts
9
Reaction score
1
Habari wadau,

Nina Malori semi- trailer mawili yapo tayari kwa kazi Muda wote, Shida yangu Mizigo natapa kwa kusuasua sana, nipo Dar es Salaam. Napolea Ushauri pamoja na Connection ya upatikanaji wa mizigo.

0622925955
 
Tafuta madalali kwwnye magodaun huta teseka mzee kama mzgo unatoka dar kwenda kahama let say n ml 6 dalal anavuta chake ww unavuta chako na bado gar ikifka kahama unauhakika wa kurud na mzgo dar mana madalali wana conection karbu kona zote za miji tanzania
 
Habari wadau, nina Malori semi- trailer mawili yapo tayari kwa kazi Muda wote, Shida yangu Mizigo natapa kwa kusuasua sana,, nipo Dar es Salaam. Napolea Ushauri pamoja na Connection ya upatikanaji wa mizigo
0622925955
Uko wapi..gari Yako ya tani ngapi..Nikichanja,gari ya Bomba,kipisi
 
Tafuta connection na watu wa clearing forwarding pia maana wao ndio wanatoa sana MIZIGO bandarini (container)utakuja nishukuru
 
Ukisoma title bila kummalizia unaweza kuhisi ni connections za wale vijana wa ovyo tulionao nchini
 
Habari wadau,

Nina Malori semi- trailer mawili yapo tayari kwa kazi Muda wote, Shida yangu Mizigo natapa kwa kusuasua sana, nipo Dar es Salaam. Napolea Ushauri pamoja na Connection ya upatikanaji wa mizigo.

0622925955
Njoo sumbawanga kuna mahindi upeleke Congo na Kenya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom