Ibrahim McGara
Member
- Nov 4, 2016
- 9
- 1
Uko wapi..gari Yako ya tani ngapi..Nikichanja,gari ya Bomba,kipisiHabari wadau, nina Malori semi- trailer mawili yapo tayari kwa kazi Muda wote, Shida yangu Mizigo natapa kwa kusuasua sana,, nipo Dar es Salaam. Napolea Ushauri pamoja na Connection ya upatikanaji wa mizigo
0622925955
Uko wapi..gari Yako ya tani ngapi..Nikichanja,gari ya Bomba,kipisi
Ni local ama transit ?
Ntakutafuta soon.
local sirNi local ama transit ?
Njoo sumbawanga kuna mahindi upeleke Congo na KenyaHabari wadau,
Nina Malori semi- trailer mawili yapo tayari kwa kazi Muda wote, Shida yangu Mizigo natapa kwa kusuasua sana, nipo Dar es Salaam. Napolea Ushauri pamoja na Connection ya upatikanaji wa mizigo.
0622925955