Natafuta connection ya maduka ya jumla ya liberty jijini Mwanza

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,033
Reaction score
8,805
Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie.

Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe.

Natanguliza shukrani wakuu
 
Nenda Mwanza mwenyewe, simu hailimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…