Natafuta connection za kazi nje ya nchi

22Benisho

New Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4
Reaction score
4
Ndugu zangu habari ya majukumu ya siku ya leo, natumaini Mungu anawatunza vyema. Mimi ni kijana nina ndoto za kwenda nje ya nchi kufanya kazi za vibarua, naamini wana JF wengi wanafahamu mambo mengi maana ki maisha tumetofautiana.

Basi yeyote mwenye information zozote kulingana na suala langu naomba msaada.
 
Angalia uzi mmoja humu kwakuandika ( LITHIUANIA ) kuna jamaa mmoja anasema ana connection za huko kwa madereva mtafute atakupa connection za huko ...

Jaribu kuwa Open minded mkuu, huko nje ndio kutakufungua ufahamu wako katika mambo mbalimbali

Get rich or die trying... Hii ndio iwe inspiration yako
 
Get rich or die trying hii imekaa njema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…