NATAFUTA CONTAINER DAR.

NATAFUTA CONTAINER DAR.

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Habari za siku Ndugu, Kwa wenye uzoefu nisaidieni wapi naweza Kupata Container Used, Gharama za Kununua na Gharama za Kusafirisha Dar mpaka Arusha!
 
Ungesema unataka la ukubwa gani kuna la 40ft na 20ft
 
Mkuu, container zipo, utapata 40 ft kwa dola 2500, na 20 ft 2400

Nakuuzia kutoka kwa shipping line, siyo mtu wa kati, document zote utapata,

Naweza nikakusaidia ukapata hata kwa Tanga upunguze gharama za usafiri kufika Arusha
 
Daah naona ni zaidi ya M5
 
Futi 20 Ni Kama 5m

Ki Halmshauri au Kiserikal huwa tunawauzia 17 m
 
Daah naona ni zaidi ya M5
Mkuu hizi nakuuzia kutoka kwa shipping company moja kwa moja bado ziko mpya kabisa,

Hiyo nimekutajia bei ya ndani, ukipata kwa dalali atakupiga zaidi ya hiyo, au container mbovu.
 
Sawa Mkuu, Nataka Nianzishe internet Cafe.. zinaweza Kukaa pc ngapi..
 
Kwa hapa dar inategemea na hali lilivyo yaani uchakavu au upya ila kwa 40ft makadirio si chini ya 3 milioni
Babu usimpoteze huyo jamaa, 40" kwa m 3! 20 ft ndo huwa bei zake, hapo ukilinunua pia unatakiwa ulipie bei ya kuliinua, inategemea na mtakavyo elewana
 
Back
Top Bottom