Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kama mwenye document ya sheria hizi za uchaguzi anisadie
1.Katiba ya Tanzania mwaka 1977
2.Sheria ya uchaguzi ya 1985
3.Sheria ya vyama vya uchaguzi No 5 YA 1992
4.Sheria ya gharama za uchaguzi ya 2010
Nitashukuru sana wadau
Isipokuwa hiyo Na. 4, ambayo haipo online, nyingine zote waweza kupata hapa
Legislation Tanzania (Lexadin)