dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 769
- 1,069
Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄.
Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm.
Sifa za muombaji:
1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika
2: Awe na elimu angalau kidato cha nne
3: Awe tayari kufunga duka saa 5 usiku
Wote mnakaribishwa 🙏 kwenye fursa hii.