Salary?Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu๐.
Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm.
Sifa za muombaji:
1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika
2: Awe na elimu angalau kidato cha nne
3: Awe tayari kufunga duka saa 5 usiku
Wote mnakaribishwa ๐ kwenye fursa hii.
Nicheki Nina msichana anaweza hyo kazi na anahitaji kazi pia sio msumbufu 0683263330Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu๐.