Kaka/Dada Pole sana ukweli nimejisikia vibaya na huzuni baada ya kusoma ishu yako,lkn nimepata faraja baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupata nafuu/kupona ingawaje inataka Moyo!Hapo ndio nilipo mimi sina msaada wowote wa kitaalam ila NAKUSIHI kama wengine walivyo kushauri-chonde chonde usiwaambukize wengine/kama wapo(unawafahamu) washauri mapema kabla hali haijawa mbaya-tumia kinga(kondom)kila unapokutana kimapenzi-fuata taratibu zote za matibabu kama unavyo shauriwa na Madaktari-Utafiti wa Maabara immunology mf.Muhimbili&Bugando nafikiri ni vema zaidi.Usiogope Mungu ndiye MUWEZA WA YOTE KAMA NAFSI YAKO INAKUSHAWISHI UMRUDIE MOLA WAKO KWA MAOMBI HUJACHELEWA TEKELEZA SASA!!
Tumsifu Yesu Kristu........