Natafuta dalali anayeuza kazi

Natafuta kazi

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
31
Reaction score
1
HABARI ZENU WAKUU.

Jamani wenzangu kutokana na ugumu wa kupatikana kazi na kupigika mtaani nimeamua kuja hapa jamvini. nadhani kila mtu anaelewa jinsi ambavyo vijana wengi wanasota mtaani,nami ni mmoja wao.


sasa jamani natafuta mtu anayewza kunisaidia nipate kazi,nipo tayari kutoa hata mshahara wote wa mwezi wa kwanza au pesa inayolingana na mshahara kutokana na makubaliano tutakayokuwa tumefikia.

nawashukuru sana na najua kuna watakaoniona sina akili lakini ni frustration tu za maisha na kuhangaika kwa muda mrefu bila kupata ajira.

plz just PM me.

asanteni.
 
Dah,kumbe tupo wengi wenye kuhangaika na kazi. jamani wenye uwezo wa kutupa contacts tusaidieni.
 

Ukitoa wote utabakiwa na nini? Si bora usifanye kazi.
Taaluma yako ni nini?
 
mmmh KWELI RUSHWA ITADUMU MILELE! KWENYE NCHI HII!
 
endelea kutafuta tu...hatimaye utapata.

don't give up the hope...aliimba Bob Marley.
 
Watafute Madalali Erolink, Bizonline, Radar online, shughulika recruitment watakusaidia.
 
Utapat tu mdau ila humu utakutana na baadhi ya maneno lukuki ya wanaojifaoya washaweza ni kukukatisha tamaa.
 

Mshahara wa kwanza ni Malimbuko,wa Mungu huo,labda toa wa 2. Omba sana,put ur efforts and enlarge yo network.
 

Pole sana mdau naelewa vizuri sana machungu ya hiyo kitu,inanikumbusha nilipotoka chuoni ilinigharimu miaka miwili bila ya ajira,yaani huwezi amini mpaka nika-develop highpertension ambayo ilinisumbua karibu miezi 3 na my luck nilipopata kazi ikaniachia ndio ikawa salama yangu,muombe Mungu usikate tamaa,though inahitaji uvumilivu sana and don't feel as if the end of the world has come.
 

Asante mkuu,inaumiza sana kichwa. kazi shida,mtaji hamna.daaah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…