Natafuta dalali wa kiwanja

Natafuta dalali wa kiwanja

Winnerstz

Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
10
Reaction score
7
TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA

Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali.

Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami kwa maelewano zaidi.

📞 Wasiliana nami kwa simu/WhatsApp: 0765764172

🥇 Ukiniletea mteja, utapata malipo mazuri kwa kazi yako!

Sambaza kwa wengine wanaoweza kuwa na mteja! 🚀
 
Kwanini unatumia hawa madubwasha. Huwezi kuuza peke yako? Dalali ni nuksi. Unakuta nyumba inaizwa milioni 100 yeye anaanzia milioni 250.
 
Back
Top Bottom