Natafuta Dalali wa Masoko ya mazao

Natafuta Dalali wa Masoko ya mazao

newtom

Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
11
Reaction score
6
Habari wakubwa naomba msaada wa dalali au masoko ya mazao ya kilimo kama vile maharage na mahindi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Asante
 
Mi nanunua mahindi ila yawe ya dodoma tu, nicheki tuyajenge.
 
Habari wakubwa naomba msaada wa dalali au masoko ya mazao ya kilimo kama vile maharage na mahindi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Asante
Maharage unayo kwa wingi mkuu? Unaweza kuwa na kiasi gani cha maharage? Na ni aina gani ya maharage ambayo unayo?
 
Ndugu yangu uko serious unatafuta dalali umpe mzigo?!
 
nina karanga nyekundu na nyeupe tan tano ,nicheck tuyajenge chap 0769072293, tuma ujumbe whatsap tu.
IMG-20230414-WA0058.jpg
 
Back
Top Bottom