Natafuta dashbod show ya Carina TI

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
Habari wajumbe.

Yeyote aliyekata carina ti au mwenye kujua wapi ntapta vitu vifuatavyo.

1. Ac compressor ya ti carina.

2. Dashbod(ile saa complete yenye odometer, rpm na gauge ya mafuta)

3. Show yake ya dashbod maana iliyopo imekauka fundi alifungua ikakatika.

Kama kuna mtu anavyo hivyo basi aje inbox na bei elekezi tufanye biashara
 
Upo mkoa gani? Kama Dar unaweza kwenda popote wanapokata magari au wanapouza spare used utapata, iwe Temeke, Ilala nk.
 
Kwenye kikao tulishakubalia, sisi Wamiliki wa Gari za Toyota Tanzania(WGTT), spares zipo nyingi hatuhitaji kutafuta kwenye mitandao ya kijamii. Tuwasiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…