Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Habari,
Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo.
NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA
Malipo ni kwa idadi ya wakulima utakaowahoji.
Uhai wa Tangazo hili mwisho mwezi Oktoba 2024