uko wapi?jino lajuu linanisumbua naogopa kuling'oa wanadai wengi wao wariowahi kung'oa walipoteza maisha
jino lajuu linanisumbua naogopa kuling'oa wanadai wengi wao wariowahi kung'oa walipoteza maisha
nahisi yuko tarime au musoma alivotupia "wariowahi"uko wapi?
teh teh teh!nahisi yuko tarime au musoma alivotupia "wariowahi"
jino lajuu linanisumbua naogopa kuling'oa wanadai wengi wao wariowahi kung'oa walipoteza maisha
nikweli baadhi ya watu wanakufa kwa kungoa jino, mimi nawajua wawili ambao walikufa baada yakungoa be carefully nakama roho imeshatetemeka mhh sikushauri kung'oajino lajuu linanisumbua naogopa kuling'oa wanadai wengi wao wariowahi kung'oa walipoteza maisha
Uwoga ni dalili ya kujithamini nafsi yako ila mara nyingi inatokana na kutokufahamu ni ipi njia bora ya kutatua tatizo lako
Wengi wameshauri vizuri mnoo kuwa siku hz hamna haja ya kung'oa jino kama limetoboka ila kuna umuhimu wa kwenda hospitali yenye wataalamu wa afya ya kinywa na meno ili upate ushauri wa njia bora ya kutatua shida yako.
Huduma kama ya Root canal au hata ikibidi kung'
acha uwoga kijana!mimi nimeng'oa meno 3 ya juu cjafa!kama limeharibika kang'oe au ufanyiwe root canal