Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Tatizo nini mkuu, mbona umeshangaaAiaseee
0787986992 Mtafute huyu jamaa kama upo DarWakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.
Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za [emoji541] hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.
Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Ahsante mkuu kwa ushauri, hila pic zisikustue sana sometime ni pozz tusasa picha zako zinahusiana nini na dawa?
Anyway katafute mlonge longe unapatikana mikoa ya pwani mpaka morogoro!
chuma majani yake kausha halafu saga!
kunywa glas moja mara3,maji ya vugu vugu!
Ni kinga tosha
Ahsante sana mkuuKautafute mshubiri..Aloe vera unatibu pia malaria
Shukran mkuu, hila ukiweka maji aifanyi kazi kwani?Aloe vera .Usiweke maji. Badala yake weka asali mbichi. Kunywa vijiko vitatu kutwa mara tatu.
Nimekupata mkuuBaada ya saa Moja pata juice ya ukwaju glasi Moja.
Unaptikana wapi mkuu, nikiitajiMimi nauza hizo dawa za kienyeji za malaria
Ahsante mkuu tuko pamojapiga aloe vera kuna jamaa anauza ukipiga chupa mbili UTI,na TYPHOID pia utazisikia kwa jirani tuu,ila ukoma na dozi
Mungu akubariki sana kaka.0787986992 Mtafute huyu jamaa kama upo Dar