Mimi huwa naiosha vizuri naikatakata vipande vidogo vidogo, baada ya hapo nailoweka kwa muda wa saa 2-3.. Dose huwa natumia kutwa mara 3 yaani Asubuhi, mchana na jioni..( kikombe kimoja kimoja cha chai mara hizo 3).Homahoma, Malaria...kichwa kuumwa na hata mvurugiko huisha nikitumia Aloevera
NB; Haishauriwi kuichemsha kwani wanasema utaipunguzia uwezo wake..
-Pia muda mwingine huleta maudhi madogomadogo ( ambayo huwa ya muda tu) kwa baadhi ya watumiaji. mfano kichefuchefu..kuhisi kutapika na kusikia kizunguzungu