tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Kila siku tumekuwa tukisikia waganga wa kienyeji wakipigia chapuo dawa za kuongeza nguvu za kiume. Mimi nina tatizo la nguvu nyingi za kiume ambazo naona sasa zimenilemea na kunitesa sana.
Wingi wa nguvu zangu unanilazimisha kila siku nipate dozi ya papuchi. Zamani nilikuwa na mpenzi mmoja lakini alinidis kiana baada ya kushindwa kuhimili dozi yangu.
Na kibaya zaidi ni kwamba kila siku ni lazima nipige bao zisizopungua 10! Hata mimi naona kwamba kutoa dozi hii kwa demu mmoja kwa siku ni kumuumiza, maana baada ya dozi hii demu huonekana kachoka na kukata tamaa kabisa.
Nimejaribu kuwa na mademu wengi ili niweze kugawa angalau dozi mbili kwa kila mmoja kwa siku lakini tatizo ni kwamba mara nyingi nashindwa kuwapangia ratiba na hatimaye kujikuta nimewagonganisha.
Nimejitahidi kuwaona waganga tofauti tofauti wa kieneji wanisaidie dawa ya kupunguza hizi nguvu za kiume imeshindikana-kila ninayemmwendea kwanza hunishangaa kisha hunijibu kwamba hawana dawa ya namna hiyo.
Wengi wao wanazo dawa za kuongeza nguvu za kiume lakini za kupunguza hawana. Kuna mganga mmoja yupo maeneo ya Magomeni, wiki iliyopita nilitinga ofisni kwake kusaka hiyo dawa akanipa ushauri wa ajabu sana.
Eti akanishauri nibadili dini ili nioe wanawake wanne ndio watanifaa! Huu ushauri ni mgumu kwangu kwani kwa sasa sina mpango wa kubadili dini.
Nimeripoti tatizo hili kwenye hospitali mbali mbali kama vile Muhimbili, TMJ, Aga Khan, Regence, AMI, Hindu Mandal, nk lakini kote huko nimegonga mwamba.
Madaktari wote niliokutana nao walinihakikishia kwamba hakuna dawa inayoweza kutatua tatizo langu once and and for all. Sasa kama hakuna dawa hospitalini au kwa waganga mbona mwenzenu nitateseka sana?
Ndipo ikabidi nijitokeze hadharani niwaulize nyie wadau kama kuna mtu aliwahi kumsikia mganga mwenye dawa ya kupunguza nguvu za kiume naomba aniPM tafadhali.
Au kama kuna mtu anafahamu mtishamaba ambao nikiutumia utatatua tatizo hili aniambie. Hii ni hatari sana ndugu zangu-wakati wengine wanawasaka waganga wawaongezee nguvu mimi namsaka mganga wa kunipunguzia nguvu!
Ingekuwa nguvu zinagawika ningekwish wagawia wale wasokuwa nazo kitambo sana! Nitashukuru ikiwa nitapata tiba ya kupunguza hizi nguvu zangu kwa kuwa nimechoka kukikmbiwa na mademu. Msaada kwenye tuta tafadhali wandugu.
Nawasilisha.
:yield: