Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume!


mkuu, hii ngumu sana. kwani hakuna njia nyingine zaidi ya hii?
 
Can 'idle mind' dose resolve the problem? Please substantiate your statement.
Did you understand those few words my friend?

kuna uzi mmoja wa mkuu Himidini alishawahi kuuleta hapa, kwa kinagaubaga juu ya mzunguko wa sex kwa kila saa 48 kwa mwanaume..

In summary, mwanaume hurejewa na hisia za sex/kuhitaji ku-sex tena kila baada ya siku 2!

How comes you go against?
 
Last edited by a moderator:

kwanini wewe umeganda kwenye u-kawaida wakati nimeishasema hili la kwangu ni TATIZO lisilokuwa la kawaida na ndio maana nahitaji tiba? Au hujaelewa vizuri theme iliyomo kwenye uzi wangu?
 
Last edited by a moderator:
Anza kupiga 'PULI' baada ya miezi mitatu tu nguvu zinapungua[/QUOTE]

Akitmiza miezi mitatu hakika mkono autumiao kwa PULI lazima msuli utakuwa umejaa kama ulikuwa unaishi gym🙂
 
Huyu kilaza kwake anaugomvi hata goli moja shida mtu wake anafikiria kuchepuka.Watu wanaofanya kweli hawaongei mambo ya kijinga

umeona eeeha uskute kimoja hoi hapa anajipoza aonekane kidume
 
umeona eeeha uskute kimoja hoi hapa anajipoza aonekane kidume

Aaa omeona huyu 100% kwachakula gani?Tanzani mtu kajitahidi goli 3 hata mimi nafanya mazoezi na kula vizuri tatu mwisho sasa yeye kilaza anaweza 10?
 
wakuu mi nahitaji za kuongeza ili nizidi kuwa fiti kama SALENDA BRIDGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…