kj75 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2019 Posts 539 Reaction score 637 Feb 15, 2022 #1 Waungwana habari ya mchana huu, Ni matumaini yangu mnaendelea vizur na majukumu yenu ya kila siku kama kichwa kinavyojieleza Hapo juu natafuta hiyo dawa kwa ajili ya kuua magugu kwa bei ya jumla au rejareja na sehemu inapopatikana.
Waungwana habari ya mchana huu, Ni matumaini yangu mnaendelea vizur na majukumu yenu ya kila siku kama kichwa kinavyojieleza Hapo juu natafuta hiyo dawa kwa ajili ya kuua magugu kwa bei ya jumla au rejareja na sehemu inapopatikana.