Natafuta dawa ya mafua, inaitwa robb

Natafuta dawa ya mafua, inaitwa robb

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
475
Reaction score
253
Hellow wana jf, natafuta sana dawa hii,inaitwa robb(methyl salicylate) ina harufu kama volin ile ya kuchua, nimetafuta sana kwenye maduka ya dawa hapa dar sijafanikiwa kuipata. Mwenye kufahamj napoweza kuipata anisaidie
 
Back
Top Bottom