M mfocbsjut JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 475 Reaction score 253 May 17, 2013 #1 Hellow wana jf, natafuta sana dawa hii,inaitwa robb(methyl salicylate) ina harufu kama volin ile ya kuchua, nimetafuta sana kwenye maduka ya dawa hapa dar sijafanikiwa kuipata. Mwenye kufahamj napoweza kuipata anisaidie
Hellow wana jf, natafuta sana dawa hii,inaitwa robb(methyl salicylate) ina harufu kama volin ile ya kuchua, nimetafuta sana kwenye maduka ya dawa hapa dar sijafanikiwa kuipata. Mwenye kufahamj napoweza kuipata anisaidie