Natafuta dawa za asili za kutibu wasiwasi


Asante my dear
 
TAFUTA MBEGU YA MABOGA. OSHA VUZURI NA KAUSHA KWENYE JUA. THEN ULE KAMA KARANGA KIASI CHA KIGANJA CHAKO KILA JIONI KABLA YA KWENDA KULALA. UTAONA MATOKEO.
 
Basi dawa ya asili iliyokuu kwa matatizo yanayomzunguka binadamu ni kujisalimisha kikamilfu kwa Bwana Yesu.
Mrudie muumba wako, fanya ibaada na yafurahie maisha katika hali yoyote ile uliyo.
Otherwise a small amount of marijuana to cure depression n uncertainty behavior associated with endeles fear...!!!
 
Halafu pia usithubutu kuyatafuta na kuyaingilia masuala ya kiroho nje ya imani katika Mungu. Itakusababishia kuogopa kila kitu, yaani hata upepo ukivuma tu unahofu kuna kitu unaleta hivyo utataka kuanza kutafuta tafsiri ya upepo kuvuma kwa namna ile unayoona ukivuma.
 
kuna pills for anxiety.ila nyingi zina madhara ndio maana watu hawashauri uchukue route hio,cha kushauri ni kuface challenges/dillemas ulizonazo uzilist kwenye diary kisha uzichallenge! kama unaogopa watu,nenda kwenye mikutano ya watu wengi,utaona baadae ulikua unaogopa bure,watu hawatishi,once ukianza kuchallenge vinavyokuletea wasiwasi na kurecord itakuongezea confidence
 
Hujiamini , tafuta chanzo cha kutojiamini , ama vipi muone mwanasaikologia akutibu
 
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Usije kujaribu dawa za antideppresant utakuwa dependent wa hayo makituu..
Jaribu kufanya EXPOSURE yaani vile vitu ukiviona vinavyokupa wasiwasi jaribu kuwa navyo karibu.yaani kama ukiona watu wengi ndio unapata wasiwasi hivyo jaribu kukaa kwenye watu wengi kwa mda mrefu hadi wasiwasi uishe hapo utaweza kushinda..
Kuombewa utapoteza muda na pesa kwenda kwa waganga.
Wee kama unapata wasiwasi ukiingia kwenye lift basi utahitaji lifti hiyo hiyo uende juu na kushuka utaona kitu cha kawaida na hutapatwa wasiwasi tena.
Ukienda makaburini kuzika ukapata hofu ya makaburini basi utahitaji kwenda hapo tena usiku ulale kabisa..utashangaa hofu imeondoka na hairudi tena.
UBONGO SIKU ZOTE HAUWEZ KUJUA KWAMBA HII NI HATARI KWELI AU SIO HATARI WENYEWE KAZI YAKE NIKUHAKIKISHA ALWAYS YOUR SAFE..SASA UKIBUGI UTAJIKUTA UNAOGOPA MENDE AU PANYA AMBAO WALA SIO THREAT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…