Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 690
Wasiwasi utatibiwa kwa dawa ikiwa utafikia kuasili mfumo wa neurotransmitter ktk ubongo wako.......Lkn kinyume cha hapo zipo mbinu nyingi za kisaikolojia zinatumika kupunguza na kumaliza tatizo hilo
Njoo in box plzWakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Ba mdogo mshana hufungamani na upande wowote[emoji111]Its a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23]hapanaBa mdogo mshana hufungamani na upande wowote[emoji111]
Kwenye bangi weka bangi.kwenye yesu weka yesu[emoji23][emoji23][emoji23]hapana
mimi binafsi nna mwaka wa 3 nasumbuliwa na anxiety disorder
wakati inanianza ilinisumbua miezi mi3 nilitaka kuwa chizi. kama isingekua jf
nilikata tamaa kabisa
anxiety ilnifanya nikaona maisha machungu nikajutengenezea ugonjwa ukanisumbua mwezi mzima.
lakini wakati wote sikujua nn hasa kinanisumbua
nilijichunguza mpaka nikaja kujua chanzo ni anxiety na imeketwa na hormone imbalance nilionayo.
mkuu hata sasa inanitokea sometimes ila kwa 30% na katika muda inanitokea haiwezi kudumu kutwa nzima kwasababu nimeshajitambua ni jinsi ya kuovercome hio hali.
ila ilifika mahali mpaka pa kutaka kunywa dawa.
naogopa mpaka binadamu wenzangu.
woga na wasiwasi ulipitiliza nikawa hata mm mwenyewe sijiamini.
Ndugu zangu wanaamini nililogwa, mm naamini ilikua wasiwasi.. na tangu hapo siaminigi katika kulogwa maana niliweza kujicontrol mm mwenyewe hata sasa.
mkuu jikaze ,jutambue let things chukulia kitu chakawaida kushatukumba wengi sana. ni tatizo la saikolojia tu litaisha kazana kutafuta thread zitakazokupa muongozo humu.
Bwana awe nawe sana
Matatizo ya kisaikolojia ambayo yanatumia dawa huwa yanaenda na counseling kwa muda wa kipindi fulani sababu kichocheo cha tatizo hilo ni ktk fikra......ucsahau hilo tafuta counseling hv Cataliyya hatujawahi wasiliana kwa simu kweli?Yangu nadhani ni neurotransmitters coz nkitumia dawa hua napata nafuu
Ipo ila vuta subira nipekue makabrasha.ILABDAWA YA MWANZO KUNYWA MAJI YAKUTOSHA PUMZIKA au lala muda mrefuWakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Matatizo ya kisaikolojia ambayo yanatumia dawa huwa yanaenda na counseling kwa muda wa kipindi fulani sababu kichocheo cha tatizo hilo ni ktk fikra......ucsahau hilo tafuta counseling hv Cataliyya hatujawahi wasiliana kwa simu kweli?
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Usijaribu bangi, huo wasiwasi unaweza ukazidi na ukawa hata chizi ikikukataa kichwani.ntaipataje bangi? na bangi sio addictive?
kibingwa ndio vipi hivyo chief? [emoji134][emoji134]Its a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
beach kuna nini?Just relax. Nenda beach nk