natafuta dawa

natafuta dawa

mzizi mkavu et al...

natafuta herbal aina ya "tribulus terrestris" kwa tanzania ni wapi inapatikana na bei....ni pm.

asanteni
Mimi Sipo nyumbani Tanzania kwa ufupi wewe unatafuta Mbigili kwa kiingereza

inaitwa jina hili (Tribulus terrestris) kama upo nyumbani watakuja watu kukupatia humu

humu ndani tusubire kidogo.



800px-Starr_030612-0067_Tribulus_terrestris.jpg


(Tribulus terrestris) Mbigili.
Mbigili ni aina ya mmea ya familia Zygophyllaceae inayotambaa ardhini na ambayo matunda yake yana

miiba kali inayoweza kutoboa magurudumu ya baisikeli na kuumiza miguusana. Hutumika kama mboga

hususani na wakazi wa pwani.

 
Back
Top Bottom