jossey1979
Senior Member
- Apr 28, 2008
- 172
- 42
Men natafuta DCM ila Bei yake isizidi 12m. mwenye info naomba anisaidie. private mail please!!!
Umeshapima presha? Naona wengi walionunua maDCM kwa bei uliyotaja wanaishia kuwa marafiki wa mafundi. Kuna mmoja alitumia hela ya pensheni, kila napokutana naye naona kama amedata....kama haelewi dunia inaendaje. Kama hujapima presha, kapime kwanza ndio ufikirie kununua DCM kwa bei hiyo.
Umeshapima presha? Naona wengi walionunua maDCM kwa bei uliyotaja wanaishia kuwa marafiki wa mafundi. Kuna mmoja alitumia hela ya pensheni, kila napokutana naye naona kama amedata....kama haelewi dunia inaendaje. Kama hujapima presha, kapime kwanza ndio ufikirie kununua DCM kwa bei hiyo.
daaaa mshikaji yaaani nimecheka sana badala ya kusikita hata hivyo message sent siwezi kununua gari aina hiyo kama ndo hivo
mamii usijaribu. Utakufa muda si wako. Ukiwa na gari la mtindo huo uatajikuta muda wote akuli imehama. Badala ya kuwafikiria mme/mchumba/mtoto/baba/mama nk we akili yako iko kwenye dcm. Leo injini, kesho difu, keshokutwa krankshafti, mara bearing, sijui matairi nk. Dereve akikupigia simu presha inapanda, unajua kuna tatizo tayari. Dcm chakavu, ni heri uwe na nyumba ndogo tatu.
points taken men! Thank you 1,000 times for all of you who have contributed! Welcome for a glass of tusker. This weekend pale b bar plus k moto
Mamii usijaribu. Utakufa muda si wako. Ukiwa na gari la mtindo huo uatajikuta muda wote akuli imehama. Badala ya kuwafikiria mme/mchumba/mtoto/baba/mama nk we akili yako iko kwenye DCM. Leo injini, kesho difu, keshokutwa krankshafti, mara bearing, sijui matairi nk. Dereve akikupigia simu presha inapanda, unajua kuna tatizo tayari. DCM chakavu, ni heri uwe na nyumba ndogo tatu.
Nafurahi sana kukuona huku ukitafuta dcm jomba, kwanini usiwahi kule Zambia wanapoyatoa wenzako??points taken men! Thank you 1,000 times for all of you who have contributed! Welcome for a glass of tusker. This weekend pale b bar plus k moto