mhugo hantish Senior Member Joined Apr 21, 2015 Posts 137 Reaction score 36 Jan 8, 2020 #1 Wakuu, habari? Naomba kama kuna mtu anamfahamu au ni mhusika wa uwakala wa Oryx gas anaisaidie. Nataka kufanya biashara ya uwakala wa gas mkoani Njombe, Ludewa.
Wakuu, habari? Naomba kama kuna mtu anamfahamu au ni mhusika wa uwakala wa Oryx gas anaisaidie. Nataka kufanya biashara ya uwakala wa gas mkoani Njombe, Ludewa.