Natafuta deep flayer kwaajili ya kuchomea kuchomea chipsi

Natafuta deep flayer kwaajili ya kuchomea kuchomea chipsi

Mr mussa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
296
Reaction score
456
Habari.

Natafuta deep flayer inayotumia umeme kwaajili ya kuchoea chips, iwe na plate mbili.

Njoo na offer yako.

Mawasiliano: 0743-451-357 call/sms/WhatsApp/PM
 
Hizo unazotaka ndio zile ambazo zinaruka zikichomekwa kwenye umeme?
 
Back
Top Bottom