Natafuta demu wa kuchati naye

Natafuta demu wa kuchati naye

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
4,210
Reaction score
556
Mimi ni mvulana wa miaka kati ya 25-28.natafuta msichana wa kuchati naye sms za kimapenzi kwa kuanzia. Awe na umri kati ya miaka 18-30. Awe wa dini yeyote. Aliye tayari tuwasiliane kwa 0764930585. Usibip tuma sms!
 
aiseee!...utalipia tangazo mzee!.
 
Kumbe ni mvulana? Haya mademu wanakuja sasa hivi, kaa mkao wa kuopoa.
 
mie ni deymu wa miaka 28, sikutaki maana hata umri wako huna uhakika nao.

Manina source:ODM
 
kuchat sms za mapenzi? duh, huu naona ni utaratibu wa kisasa zaidi wa 'tongozo'
 
Nitumie salio ili tuchat, nimekupm number yangu.
 
Back
Top Bottom